Uongozi
Viongozi wanaoongoza, kusimamia na kuratibu shughuli za Umoja wa Wanyaseka Wanaoishi Nje ya Seka (UWASE) kwa mujibu wa Katiba.
Orodha ya viongozi inasasishwa na msimamizi.
Muundo wa Uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Uongozi wa UWASE unajumuisha Bodi ya Wadhamini na Kamati Tendaji inayoundwa na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu, Katibu Msaidizi, Mweka Hazina, Mhazini Msaidizi, Mkaguzi wa Hesabu na Wajumbe wanne waliochaguliwa na Mkutano Mkuu.