UWASE · MAWASILIANO

Mawasiliano

Wasiliana na UWASE kupitia anuani na mawasiliano yaliyowekwa na wasimamizi wa Umoja.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Nani anayestahili kujiunga na UWASE?
Mtanzania yeyote mwenye asili ya Seka mwenye miaka 25 au zaidi, anayejitegemea na mwenye nidhamu anastahili kujiunga.
Ada ya kiingilio ni kiasi gani?
Ada ya kiingilio ni TZS 100,000 inayolipwa mara moja wakati wa kukamilisha usajili.
Je, naweza kusajili familia yangu?
Ndiyo, mwanachama husajili mwenza (mume/mke), watoto hadi sita (6), na wazazi wawili (baba na mama).

Tuma Ujumbe Moja kwa Moja