UWASE · ABOUT

Kuhusu UWASE

Katiba ya UWASE inaeleza kuwa umoja umejengwa katika misingi ya uhuru, undugu, amani, usawa na demokrasia. Makao makuu yako Mkoa wa Mara, Kijiji cha Seka; anuani ni S.L.P 717, Musoma Mara.

Madhumuni

UWASE ni jumuiya ya kiraia isiyofungamana na siasa za ndani au kimataifa.

👁️

Dira ya UWASE

Soma dira na matarajio ya muda mrefu ya Umoja wetu.

🎯

Dhima ya UWASE

Misingi na njia za utekelezaji wa maendeleo na mshikamano.

📜

Katiba ya UWASE

Kagua sura zote za Katiba rasmi ya Umoja.

♛

Viongozi wa UWASE

Fahamu safu ya viongozi wanaoongoza umoja wetu.